sw_tn/psa/119/119.md

20 lines
533 B
Markdown

# Unawaondoa waovu wote duniani kama takataka
Hapa "takataka" ni yale mabaki yanayobaki wakati wa kusafisha dhahabu au madini mengine ya chuma. Yahwe anawaondoa watu waovu kana kwamba ni takataka.
# waovu
"watu waovu"
# kama takataka
"kama uchafu"
# Mwili unatetemeka kwa kukuogopa wewe
Hapa "mwili" unawakilisha mtu mzima. "Ninatetemeka kwa sababu ninakuogopa"
# ninaogopa amri zako za haki
Inadokezwa kwamba mwandishi anaogopa amri za haki za Mungu kwa sababu Mungu anajua kuwa Mungu huwaadhibu wale wanaokaidi amri zake.