forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
338 B
Markdown
8 lines
338 B
Markdown
# nikageuza miguu yangu
|
|
|
|
Hapa "miguu" inamwakilisha mtu mzima. Kutubu na kuchagua kutii sheria za Mungu ni kama kugeuza miguu kwenye njia na kuelekea upande mwingine. "nilibadilisha mwelekeo"
|
|
|
|
# Ninaharakisha na sichelewi
|
|
|
|
Mwandishi anaeleza wazo moja katika hali chanya na hasi ili kusisitiza uharaka alionao katika kutii amri za Yahwe.
|