sw_tn/psa/106/028.md

16 lines
339 B
Markdown

# sadaka zilizotolewa kwa wafu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "sadaka ambazo walitoa kwa wafu"
# kwa wafu
"Wafu" ina maana ya sanamu na miungu ambayo Waisraeli walikuwa wakiabudu. "Kwa miungu ambao wamekufa" au "kwa miungu ambayo haina uhai"
# tauni ikazuka
"tauni ikasambaa"
# Wakachochea hasira yake
"ikamkasirisha"