forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
489 B
Markdown
12 lines
489 B
Markdown
# nyie falme za duniani
|
|
|
|
Hapa "falme" inamaanishwa wakazi wa falme. "nyie watu ambao ni wakazi wa falme duniani kote"
|
|
|
|
# Kwake anayeendesha juu ya mbingu ya mbingu
|
|
|
|
Neno "Imbeni" linadokezwa kama mwanzo wa mstari huu. Hapa Mungu anaelezwa kana kwamba anaendesha kibandawazi angani. "Imbeni kwa Mungu anayeendesha juu ya anga katika kibandawazi chake"
|
|
|
|
# anainua sauti yake kwa nguvu
|
|
|
|
Lahaja hii inamanisha anazungumza kwa nguvu. "anapiga kelele kwa nguvu" au "anazungumza kwa sauti kubwa"
|