forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
369 B
Markdown
12 lines
369 B
Markdown
# nipe uelewa
|
|
|
|
"niwezeshe kuelewa kile unachotaka nijue"
|
|
|
|
# Ni muda wa Yahwe kutenda
|
|
|
|
Mwandishi anazungumza na Yahwe katika hali ya mtu wa tatu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya mtu wa pili. "Ni muda wako kutenda, Yahwe"
|
|
|
|
# watu wamevunja sheria yako
|
|
|
|
Hii ni lahaja. Hapa "wamevunja" inamaanisha "kukaidi." Hii ni njia ya kusema kuwa watu wamekaidi sheria ya Mungu.
|