sw_tn/psa/119/103.md

12 lines
422 B
Markdown

# Ni matamu kiasi gani maneno yako kwangu, ndio, matamu kuliko asali mdomoni mwangu!
Mwandishi kufurahi katika yale ambayo Mungu anasema inazungumziwa kana kwamba maneno ya Mungu ni chakula yaliyokuwa na ladha nzuri kwa mwandishi. "Maneno yako ni mazuri na yanapendeza!"
# ninapata utambuzi
"ninajifunza kutambua kilicho sawa"
# kwa hiyo ninachukia kila njia ya uongo
Tabia ya uovu inazungumziwa kana kwamba ni njia.