sw_tn/psa/098/003.md

24 lines
460 B
Markdown

# Anaitisha akilini
"anakumbuka"
# mwisho wote wa dunia ... dunia yote
Hizi ni njia zingine za kusema watu wa duniani. "watu kutoka duniani kote .. watu wote duniani"
# wataona utukufu wa Mungu wetu
Nomino dhahania inaweza kutafsiriwa na kitenzi "kushinda." "watamwona Mungu wetu akiwashinda adui zake"
# pasukeni katika wimbo
"kuanza kuimba ghafla kwa furaha"
# imbeni kwa furaha
"imbeni kwa sababu mnafuraha"
# imbeni sifa
"imbeni sifa kwa Mungu"