forked from WA-Catalog/sw_tn
433 B
433 B
Habari ya jumla
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
shangwe na furaha moyoni
Hapa "shangwe" na "furaha moyoni" umaanisha kitu kile kile. Yanasisitiza kwamba watu wanapaswa kuwa na furaha kumwabudu Yahwe.
Ataweka mzigo wa chuma juu ya shingo yako
Huu ni mfano kwa ajili ya Yahwe kumruhusu adui kuwafanyia Waisraeli kwa ukatili na kuwafanya watumwa.