forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
442 B
Markdown
20 lines
442 B
Markdown
|
# uaminifu wako wa agano ni mzuri
|
||
|
|
||
|
"wewe ni mwema na unanipenda kwa uaminifu"
|
||
|
|
||
|
# huruma zako kwangu ni nyingi
|
||
|
|
||
|
"una huruma sana kwangu"
|
||
|
|
||
|
# geukia kwangu
|
||
|
|
||
|
Wazo la kumgeukia mtu linamaanisha kumvutia nadhari kwao au kuwasaidia. "nisaidie"
|
||
|
|
||
|
# Usifiche uso wako kwa mtumishi wako
|
||
|
|
||
|
Kuficha uso wa mtu inamaanisha kukataa kumsikiliza au kumsaidia mtu. "Tafadhali msaidie mtumishi wako" au "Tafadhali nisaidie"
|
||
|
|
||
|
# katika dhiki
|
||
|
|
||
|
"katika taabu kubwa"
|