# uaminifu wako wa agano ni mzuri "wewe ni mwema na unanipenda kwa uaminifu" # huruma zako kwangu ni nyingi "una huruma sana kwangu" # geukia kwangu Wazo la kumgeukia mtu linamaanisha kumvutia nadhari kwao au kuwasaidia. "nisaidie" # Usifiche uso wako kwa mtumishi wako Kuficha uso wa mtu inamaanisha kukataa kumsikiliza au kumsaidia mtu. "Tafadhali msaidie mtumishi wako" au "Tafadhali nisaidie" # katika dhiki "katika taabu kubwa"