sw_tn/psa/069/007.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa ajili yako
"Kwa niaba yako"
# Nimebeba lawama
Lawama za adui wa mwandishi zinazungumziwa kana kwamba ni mzigo mzito ambapo alitakiwa kubeba. "Nimevumilia matusi ya adui zangu"
# aibu imefunika uso wangu
Mwandishi anazungumzia aibu anayoihisi kana kwamba ni kitu kibaya usoni pake ambacho kila mtu anakiona vizuri. "Nimeaibika sana"
# Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu
Mwandishi anajizungumzia mwenyewe kana kwamba hakuwa sehemu ya familia yake mwenyewe. "Ndugu zangu hawanijui tena au kunikubali kabisa"
# mgeni kwa ndugu zangu ... mgeni kwa watoto wa mama yangu
Misemo hii miwili inamaana moja. Inarudiwa kusisitiza mtengano na familia yake mwenyewe.
# mgeni kwa watoto wa mama yangu
Mwandishi anajizungumzia mwenyewe kana kwamba hakuwa sehemu ya familia yake mwenyewe. "ndugu zangu hawanijui tena au kuniamini kabisa"
# ari ya nyumba yako imenila
Mwandishi anazungumzia ari kwa ajili ya hekalu la Mungu kana kwamba ni mnyama pori unaommeza mwandishi. "ari niliyonayo kwa ajili ya nyumba yako inanimeza"
# imenila
Lahaja hii inamaanisha ari ya mwandishi kwa ajili ya hekalu inateka mawazo na matendo yake yote. "inatawala kabisa kila kitu nachowaza na kufanya"
# lawama ... zimeniangukia
Mwandishi anazungumzia lawama za adui wa Mungu kana kwamaba ni mawe yaliyopondwa kwa mwandishi. "wale wanaokulaumu piwa wanatuma lawama zao kwangu"