sw_rom_text_reg/12/14.txt

1 line
290 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 14 Watakieni baraka wote wanaowatesa ninyi; muwabariki na wala msiwalaani. \v 15 Furahini pamoja na wanaofurahi, lieni pamoja na wanaolia. \v 16 Muwe na nia moja ninyi kwa ninyi. Msifikiri kwa kujivuna, lakini wakubalini watu wa hali ya chini. Msiwe na hekima juu ya mawazo yenu wenyewe.