sw_mrk_text_ulb/10/15.txt

1 line
214 B
Plaintext

\v 15 Ukweli nawaambia, yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hakika hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu. \v 16 Kisha akawachukua watoto mikononi mwake na akawabariki akiwawekea mikono yake juu yao.