\v 13 Alienda juu ya mlima, na akawaita aliowataka, na wakaenda kwake. \v 14 Akawachagua kumi na wawili (aliowaita mitume), ili kwamba wawe pamoja naye na aweze kuwatuma kuhubiri, \v 15 na kuwa na mamlaka ya kutoa mapepo. \v 16 Na akawachagua kumi na wawili: Simoni, aliyempa jina la Petro,