sw_mat_text_reg/09/20.txt

1 line
372 B
Plaintext

\v 20 Tazama, mwanamke ambaye alikuwa anatokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, akaja karibu na Yesu na akagusa sehemu ya pindo la vazi lake. \v 21 Kwa kuwa alisema, "Endapo nitagusa vazi lake, nami nitapata uponyaji." \v 22 Yesu akageuka na kumtazama na kumwambia. "Binti, jipe moyo, imani yako imekufanya upone," Na muda huo huo mwanamke akapata uponyaji muda huo.