sw_mat_text_reg/13/57.txt

1 line
182 B
Plaintext

\v 57 Aliwachukiza. Lakini Yesu aliwambia, "Nabii hakosi kuwa na heshima isipokuwa kwao na katika nchi yao. \v 58 Na hakuweza kufanya miujiza mingi kwa sababu hawakuwa na imani naye.