sw_mat_text_reg/13/18.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 18 . Sasa sikilizeni mfano wa mpanzi. \v 19 Wakati yeyote asikiapo neno la ufalme na asilifahamu, ndipo mwovu huja na kukinyakua kilichokwisha kupandwa ndani ya moyo wake. Hii ni mbegu ile iliyopandwa kando ya njia.