\v 45 Kama Daudi anamwita Kristo "Bwana," jinsi gani atakuwa mtoto wake?" \v 46 Hakuna aliyeweza kumjibu neno tena, na hakuna aliyethubutu tena kumwuliza maswali zaidi tangu siku hiyo na kuendelea.