sw_mat_text_reg/28/05.txt

1 line
365 B
Plaintext

\v 5 Yule malaika akawafafanulia wale wananawake akisema, "msiogope kwa maana najua kuwa mnamtafuta Yesu, aliyesulibiwa. \v 6 Hayupo hapa, lakini amefufuka kama alivyowaambia. Njooni muone mahali ambapo Bwana alilala. \v 7 Nendeni haraka mkawaambie wanafunzi wake, 'Amefufuka toka wafu, tazama amewatangulia Galilaya. Huko ndiko mtamwona.' Tazama mimi nimewaambia."