sw_mat_text_reg/27/59.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 59 Yusufu aliuchukua mwili akaufunga na nguo ya sufi safi, \v 60 na akaulaza katika kaburi jipya lake alilokuwa amelichonga mwambani. Kisha akavingirisha jiwe kubwa likafunika mlango wa kaburi na akaenda zake. \v 61 Mariamu Magdalena na Mariamu mwingine walikuwa pale, wamekaa kuelekea kaburi.