sw_mat_text_reg/27/45.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 45 Sasa kutoka saa sita kulikuwa na giza katika nchi yote hadi saa tisa. \v 46 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu, "Eloi, Eloi, lama thabakithan?" akimaanisha, "Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?" \v 47 Wakati huo baadhi yao waliokuwa wamesimama pale walisikia, wakasema, "Anamwita Eliya."