sw_mat_text_reg/27/25.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 25 Watu wote wakasema, "Damu yake iwe juu yetu na watoto wetu." \v 26 Kisha akamfungulia Baraba kwao, lakini alimpiga mijeredi Yesu na kumkabidhi kwao kwenda kusulibiwa.