sw_mat_text_reg/27/06.txt

1 line
321 B
Plaintext

\v 6 Mkuu wa makuhani alivichukua vile vipande vya fedha na kusema, "Si halali kuiweka fedha hii katika hazina, kwa sababu ni gharama ya damu." \v 7 Walijadiliana kwa pamoja na fedha ikatumika kununulia shamba la mfinyazi la kuzika wageni. \v 8 Kwa sababu hii shamba hilo limekuwa likiitwa, "Shamba la damu" hadi leo hii.