sw_mat_text_reg/26/14.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 14 Ndipo mmoja wa wale Kumi na wawili, aliyeitwa Yuda Iskariote, alienda kwa wakuu wa makuhani \v 15 na kusema, "Mtanipatia nini nikimsaliti?" Wakampimia Yuda vipande thelathini vya fedha. \v 16 Tangu muda huo alitafuta nafasi ya kumsaliti.