sw_mat_text_reg/26/01.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 1 Wakati Yesu alipomaliza kusema maneno yote hayo, aliwaambia wanafunzi wake, \v 2 "Mnajua kwamba baada ya siku mbili kutakuwa na sikukuu ya pasaka, na mwana wa Adamu atatolewa ili asulibiwe."