sw_mat_text_reg/24/45.txt

1 line
327 B
Plaintext

\v 45 Hivyo ni nani aliye mwaminifu, mtumwa mwenye akili, ambaye bwana wake amempa madaraka juu ya walio katika nyumba yake, ili awape chakula kwa wakati unaofaa? \v 46 Amebarikiwa mtumishi huyo, ambaye bwana wake atamkuta akifanya hivyo wakati ajapo. \v 47 Kweli nawaambia kwamba bwana atamweka juu ya kila kitu kilicho chake.