sw_mat_text_reg/24/26.txt

1 line
323 B
Plaintext

\v 26 Kwa hiyo, ikiwa watawaambia, ''Kristo yuko jangwani,' msiende huko jangwani. Au, 'Tazameni, yuko ndani ya nyumba,' msiamini maneno hayo. \v 27 Kama vile radi inavyomulika kutokea mashariki na kuangaza hadi magharibi, ndivyo itakavyokuwa kuja kwa Mwana wa Adamu. \v 28 Popote ulipo mzoga, huko ndiko tai wakusanyikapo.