sw_mat_text_reg/24/23.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 23 Kisha ikiwa mtu yeyote atawaambia 'Tazama, Kristo yuko hapa! au, 'Kristo yuko kule' msiamini maneno hayo. \v 24 Kwa kuwa Makristo wa uongo na manabii wa uongo watakuja na kuonesha ishara kubwa na maajabu, kwa kusudi la kupotosha, kama ingewezekana hata na wateule. \v 25 Tazameni, nimewatahadharisha kabla ya mambo hayo kutokea.