sw_mat_text_reg/24/01.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 1 Yesu alitoka hekaluni na kwenda zake. Wanafunzi wake walimwendea na kumuonesha majengo ya hekalu. \v 2 Laikni aliwajibu na kuwaambia, "Je, hamuyaoni mambo haya yote? Kweli nawaambia, hakuna jiwe litalobaki juu ya lingine bila kubomolewa."