sw_mat_text_reg/23/01.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 1 Baadaye aliongea na umati wa watu na wanafunzi wake. Akasema, \v 2 "Waandishi na Mafarisayo wanakalia kiti cha Musa. \v 3 Kwa hiyo chochote wanacho waamuru kufanya, fanyeni huku mkiwachunguza. Lakini msije mkaiga matendo yao, kwa sababu wao hutamka mambo wasiyoyafanya.