sw_mat_text_reg/22/25.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 25 Walikuwapo ndugu saba. Wa kwanza alioa na kisha akafariki bila kuzaa watoto. Akamwachia mke nduguye. \v 26 Kisha ndugu yake wa pili naye akafanya vivyo hivyo, kisha yule wa tatu, ikawa hivyo hadi kwa yule wa saba. \v 27 Baada ya kufanya hivyo wote, yule mwanamke naye alifariki. \v 28 Sasa katika ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani katika ndugu hao saba? Kwa sababu wote walimuoa."