1 line
328 B
Plaintext
1 line
328 B
Plaintext
\v 5 Lakini watu hao hawakuzingatia kwa dhati mwaliko wake. Baadhi walirejea katika mashamba yao, na wengine walirudi katika sehemu zao za biashara. \v 6 Wengine waliwainukia watumishi wa mfalme na kuwadharirisha na kuwaua. \v 7 Lakini mfalme alikasirika. Alituma jeshi lake, akawaua wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto. |