\v 38 Lakini wakulima wa mizabibu walipomwona kijana yule, wakaambizana, `'Huyu ni mrithi, Njooni, tumuue na tumiliki urithi.' \v 39 `Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu na kumwua.