sw_mat_text_reg/21/06.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 6 Kisha wanafunzi waliondoka na kufanya kama Yesu alivyowaagiza. \v 7 Wakamleta punda na mwanapunda, na kuweka nguo zao juu yao, naye Yesu akakaa pale. \v 8 Wengi katika mkusanyiko walitandaza nguo zao njiani, na wengine walikata matawi kutoka kwenye miti na kutandaza barabarani.