sw_mat_text_reg/19/16.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 16 Tazama mtu mmoja akaja kwa Yesu na kusema, "Mwalimu, ni kitu gani kizuri ninachotakiwa kufanya ili nipate kuwa na uzima wa milele?" \v 17 Yesu akamwambia, "Kwa nini unaniuliza ni kitu gani kizuri? Kuna mmoja tu aliye mwema, lakini kama ukitaka kupata uzima, shika sheria za Mungu."