sw_mat_text_reg/19/13.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 13 Kisha akaletewa baadhi ya watoto wadogo ili awawekee mikono juu yao na kuomba, lakini wanafunzi wake wakawakemea. \v 14 Bali Yesu akasema, "Waruhusuni watoto wadogo, wala msiwakataze kuja kwangu, kwa maana ufalme wa mbinguni ni wa watu kama wao. \v 15 Naye akaweka mikono yake juu yao, na kisha akaondoka pale.