sw_mat_text_reg/19/03.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 3 Mafarisayo wakamjia, wakamjaribu, wakamwambia, "Je ni halali kwa mtu kumwacha mke wake kwa sababu yoyote?" \v 4 Yesu akajibu na kusema, "Hamkusoma, kwamba yeye aliyewaumba mwanzo aliwaumba mume na mke?