sw_mat_text_reg/18/10.txt

1 line
340 B
Plaintext

\v 10 Tazameni kwamba msije mkamdharau mmoja wa wadogo hawa. Kwa maana nawambieni kuwa mbinguni kuna malaika wao siku zote wakiutazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni. \v 11 (Zingatia: Maneno yanayoonekana kama ya msitari wa 11, "Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kuokoa kile kilichokuwa kimepotea" hayakuonekana katika nakala bora za kale).