sw_mat_text_reg/17/19.txt

1 line
510 B
Plaintext

\v 19 Kisha wanafunzi wakamjia Yesu kwa siri na kumwuliza, "Kwanini hatukuweza kumfukuza?" \v 20 Yesu akawaambia, "Kwa sababu ya imani yenu ndogo. Kweli nawaambieni, kama mtakuwa na imani hata ndogo kama punje ya mbegu ya haradali, mtaweza kuuambia mlima huu, hama kutoka hapa uende kule, nao utahama na hakutakuwa na kitu chochote cha kushindikana kwenu. \v 21 (Zingatia: Maneno ya msitari wa 21 "Lakini, aina hii ya pepo haiwezekani kutoka, ila kwa maombi na Kufunga" hayaonekani katika nakala bora za kale).