sw_mat_text_reg/17/14.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 14 Walipofika katika umati wa watu, mtu mmoja alimwendea, akapiga magoti mbele zake, na kumwambia, \v 15 "Bwana, umhurumie mwanangu, maana amekuwa na kifafa na kuteseka sana. Kwa kuwa mara nyingi huanguka motoni au kwenye maji. \v 16 Nilimleta kwa wanafunzi wako, lakini hawakuweza kumponya.