sw_mat_text_reg/15/07.txt

1 line
244 B
Plaintext

\v 7 Enyi wanafiki, ni vema kama Isaya alivyo tabiri juu yenu aliposema, \v 8 'Watu hawa wananiheshimu mimi kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. \v 9 Wananiabudu bure, kwa sababu wanafundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu."'