sw_mat_text_reg/14/25.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 25 Katika usiku wa zamu ya nne Yesu aliwakaribia, akitembea juu ya maji. \v 26 Wakati wanafunzi wake walipomwona akiitembea juu ya bahari, walihofu na kusema, "Ni mzuka,'' na kupaaza sauti katika hali ya uoga. \v 27 Yesu akawaambia mara moja, akisema, "Jipeni moyo! ni mimi! msiogope."