sw_mat_text_reg/14/16.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 16 Lakini Yesu akawaambia, ''Hawana haja ya kwenda zao. Wapeni ninyi chakula" \v 17 Wakamwambia, ''Hapa tunayo mikate mitano na samaki wawili tu."'' \v 18 Yesu akasema, "Ileteni kwangu."