sw_mat_text_reg/13/51.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 51 Mmefahamu mambo yote haya? Wanafunzi walimjibu, ''Ndiyo.'' \v 52 Kisha Yesu akawambia, ''Kila mwandishi ambaye amekuwa mwanafunzi wa ufalme anafanana na mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale.'' \v 53 IkawaYesu alipomaliza mifano yote hiyo, akaondoka katika sehemu hiyo.