sw_mat_text_reg/13/31.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 31 Kisha Yesu aliwatolea mfano mwingine. Akasema, "Ufalme wa mbinguni unafanana na mbegu ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. \v 32 Mbegu hii kwa hakika ni ndogo kuliko mbegu zingine zote. Lakini imeapo huwa kubwa kuliko mimea yote ya bustani, huwa mti, kiasi kwamba ndege wa angani huja na kujenga viota katika matawi yake."