sw_mat_text_reg/13/27.txt

1 line
237 B
Plaintext

\v 27 Na watumishi wa mwenye shamba walikuja wakamwambia, 'Bwana, hukupanda mbengu nzuri katika shamba lako? Imekuwaje sasa lina magugu? \v 28 Akawaambia, Adui ametenda hili.' Watumishi walimwambia, "Kwa hiyo unataka twende tukayang'oe?"