sw_mat_text_reg/13/13.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 13 Hivyo naongea nao kwa mifano kwa sababu ingawa wanaona, wasione kweli. Na ingawa wanasikia wasisikie wala kufahamu. \v 14 Unabii wa Isaya umetimia kwao, ule usemao, "Msikiapo msikie, lakini kwa namna yoyote hamtaelewa; wakati mwonapo muweze kuona, lakini kwa namna yeyote ile msijue.