sw_mat_text_reg/13/07.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 7 Mbengu zingine zilianguka kati ya miti yenye miiba. Miti yenye miiba ilirefuka juu ikaisonga. \v 8 Mbegu zingine zilianguka kwenye udongo mzuri na kuzaa mbegu, zingine mara mia moja zaidi, zingine sitini na zingine thelathini \v 9 Aliye na masikio na asikie.