sw_mat_text_reg/12/48.txt

1 line
324 B
Plaintext

\v 48 Lakini Yesu alijibu na kumwambia aliyemjulisha, "Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu ni akina nani?" \v 49 Naye alinyoosha mkono wake kwa wanafunzi na kusema, "Tazama, hawa ni mama na ndugu zangu! \v 50 Kwa kuwa yeyote afanyae mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, mtu huyo ndiye ndugu yangu, dada yangu na mama yangu".