sw_mat_text_reg/12/09.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 9 Kisha Yesu akatoka pale akaenda katika sinagogi lao. \v 10 Tazama kulikuwa na mtu aliyepooza mkono. Mafarisayo wakamuuliza Yesu, wakisema. "Je, ni halali kuponya siku ya Sabato?" ili kwamba waweze kumshitaki kwa kutenda dhambi.